Kuhusu Sisi

Kuunganisha wajasiliamali Africa ya Mashariki.
Kufundisha kuhusu afya ya jamii
Kuungunisha vijana na wanafunzi wa afya Tanzania
Kufundisha masuala yakilimo
Maswali na majibu kuhusu afya na ujasiliamali kwa jamii
Kuhamasisha biashara na kutafuta masoko
Kuhamasisha kilimo kwa vijana
Kuunganisha taasisi za kiafya na kuunganisha wakufunzi wa afya katika elimu za juu
Kutokomeza umasikini kwa jamii
Kuhamasisha ujasiliamali