KAMA WEWE NI KIJANA WA NYANDA ZA JUU KUSINI MWA TANZANIA UNGANA NASI KATIKA JUKWAA LETU LA VIJANA ILI TUZUNGUMZE ZAIDI KUHUSU UKIMWI NJOMBE

By | June 26, 2018

Tokeo la picha la njombe

“Kiwango cha maambukizi mapya bado kiko juu kwenye mikoa ya Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania ikiongozwa na Njombe 11.6%, Iringa 11.2% na Mbeya 9.2%. Mikoa yenye maambukizi ya kiwango cha chini ni Unguja 0%, Kaskazini Pemba 0%, Lindi 0.3%, Manyara 1.8% na Arusha 1.9%.”,

JIUNGE NAMI KATIKA hipotz.com tujifunze mambo muhimu ya kimaisha

Leave a Reply