JIFUNZE KUDOWNLOAD NA KUTUMIA HIPA APP TANZANIA

By | July 12, 2018

PAKUA HIPA APP PLATFORM MPYA YA KITANZANIA AMBAYO INARUHUSU KIJANA WA KITANZANIA KUITUMIA KUJADILI KWA UHURU KUHUSIANA NA MAMBO YA KIAFYA NA MAMBO YA KIJASILIAMALI JIUNGE NASI MAFANIKIO NI YETU SOTE;

MUONEKANO WA HIPA APP TANZANIA UNAONEKA HIVI KWENYE PLAY STORE BAADA YA KUPAKUWA APP NA KUFUNGUWA NDANI YAKE HUWA NA MUONEKANO UFUATAO;

UKIBONYEZA SEHEMU YA KUSHOTO YA SIMU YAKO UTAONA SEHEMU IMEANDIKWA ACCOUNT HALAFU REGISTER

UKISHA REGISTER ACCOUNT YAKO UNATAKIWA KU ACTIVATE ACCOUNT KUPITIA MESSAGE AMBAYO UTATUMIWA KWA E-MAIL YAKO,HAPA SASA UNAWEZA KU LOG IN KWENYE FORUM YEYOTE KWA AJILI YA MIJADALA

KARIBU SANA

 

Leave a Reply