Fear of unknown

By | July 12, 2018

Woga ni jambo baya kuliko hata kifo. Kifo kinaua mara moja Bali woga hukuua ktk mambo yako mara kwa mara, unakufelisha Leo na kesho
yako.
– ukifuatilia utagundua kuwa unakuja punde tu unapotakiwa kufanya jambo ambalo ni geni kulifanya au linalohusu public speaking.
-kuanzia moyoni, kwnye mtiririko wa damu, unatembea ktk misuli ya mwili, mpaka unyayoni kiasi kwamba hata kunyanyuka na kupiga hatua
kuelekea mbele ni tatizo. Kila mmoja alishauhisi. ukimshika mkono mtu mwoga, utauhisi uwoga wake unavyotiririka kuelekea kwny vidole vyake,
hope tume-experience hii kitu.
– Sababu maalum mara nyingi ni hamna ni just a fear of unknown Na kuidekeza tabia.
– Km tukiendelea kuepuka kusolve hili tatizo, basi litatufuata km kivuli ktk mwanga( natumai unajua kivuli hukuacha kukufuata pindi tu ukishafika
kwny darkest,= Buried alive ktk your comfort zone) ‘Buried alive ‘
– Kuna mtu anaona bora apewe adhabu/kazi nyingine/ papasuke aingie ardhini kuliko aongee in public/ a-face fear.
– unaganda na uwoga wako= your comfort zone = no any step = no difference = live a same average to poor life.
****
• Cha ajabu ni kuwa pindi utakapoamua na kufanya, utashangaa jinsi lilivyokuwa jambo linalowezekana tofauti na fikra ulizokuwa nazo kabla.
• si gumu kwa kiasi ulichokuwa unahisi.
• na ikitokea ukiwafuata na kusikiliza ushauri wa wanaolifanya, basi kuna uwezekano ukajishangaa ulikuwa unaogopa nn.
• Fanya maamuzi sasa, fanya ulichokuwa unasita kwa sababu ya uwoga.
• Pindi ukihisi uwoga, jaribu zoezi hili;
– vuta hewa ndani kupitia pua, wakati unalifanya tumbo lije nje na vice versa km mara 3, bila shaka itachukua sekunde sita tu.
(Breath in , belly out. breath out, belly in)
– in case ya Public speaking, kwa huo muda mfupi Hamna atakae tambua/ kuona km unautoa uwoga.
– Kitaalamu hii hufanya mwili ujisikie upo ktk comfort zone (relaxed), na inakuruhusu kuendelea na unachokifanya.
– Jaribu kuwa na altitude ya kufikiria uliyoyaweza, tabasamu, take it easy, na chukua hatua yaliyopo mbele yako.
– Let’s face our fear of unknown.
– Kuna wanafalsafa wasema, nyuma ya fear kuna mafanikio makubwa/ mabadiliko.
– Take action, time and again. u will achieve. UTakua
Jasiri zaidi ya politician jukwaani. Utafanya uonalo sahihi zaidi ya staring wa action movies (kuna ndugu yetu alisema staring huonewa mwanzoni,
baadae hujifunza, huongezeka jasiri na baadae huyashinda yote)
Anza sasa, baada ya muda halitakuwa tatizo tena. No more fear

Leave a Reply