MILLION DOLLAR HABITS by BRIAN TRACY

SURA YA PILI, *MPANGO MKUU WA MAFANIKIO* 👉🏻Siri ya mafanikio ni kujua hatima yako na baada ya kujua hatima yako ndipo uanze kufanya mambo kulingana na kujua ile hatima yako. 👉🏻Swali la kujiuliza kuhusu mafanikio ni vipi utangundua unayoyafikiria muda mwingi katika maisha ya yako na pia kwa nini watu wengine wanakuwa na mawazo chanya na yenye kujenga… Read More »

MILLION DOLLAR HABITS by BRIAN TRACY

*Introduction* Hivyo ulivyo ni kutokana na unayoyafanya: Katika kitabu hiki kwanza mwandishi wa kitabu hiki anasema kwamba watu waliowengi dunia wapo vile ni kutoka na yale wanayoyafanya kila siku, Mwandishi anaenda kutueleza kuhusu faida za mazoea/tabia mbalimbali jinsi zinavyoweza kuathili maisha ya mtu au maendeleo ya watu.mwandishi anasema hii ndio siri ya mafanikio kuwa na tabia za kimafanikio… Read More »

TIMIZA MALENGO YAKO

Utafiti mmoja uliofanyika kuhusu tabia za watu wanaofanikiwa uligundua kuwa moja ya tabia muhimu sana ni “Uwezo wako wa Kutawala Hisia Zako”.Katika watu 100 waliofanikiwa ilionekana kuwa 94 kati yao walisema uwezo wako wa kutawala Hisia zako ni nguzo muhimu ya mafanikio. . Katika kufukuzia ndoto zako unatakiwa kujua kuwa sio kila wakati unatakiwa kuonyesha hasira/Kuzungumza au kupambana-Huwa… Read More »

Kilimo bora cha Mihogo

Zao la muhogo ni muhimu sana kwa Tanzania zaidi kwa wakulima wadogo wenye kipato cha chini. Wakulima wengi huchanganya zao la muhogo na mazao mengine kama vile kunde, mbaazi, njugumawe, n.k. Umuhimu wa zao hili ni kutupatia cahakula na wakati mwingine kwa biashara. Kwa kanda ya kusini muhogo ni chakula kikuu ambacho kinachukua asilimia 75 ya chakula kwa… Read More »

MKULIMA NUFAIKA KWA KILIMO BORA CHA MIWA

Kilimo cha miwa ni kilimo chenye tija kwa mkulima, kilimo hiki kinaweza kufanywa na mtu yeyote yule aidha awe ameajieiwa au laaa! Jambo la msingi ni kuhakikisha anajitoa kikamilifu katika kuhakikisha unawekeza akili yake katika kulima kilimo hiki. Kuna aina kuu 2 za miwa katika mbegu za miwa zilizo shamili sana ambazo ni: 1. Bungala 2. Miwa myekundu.… Read More »

Kilimo cha Nyanya Chungu

Zao hili pia hujulikana kwa jina la ‘Nyanya Chungu’, ‘Ngogwe’ au ‘Ntongo’. Huu ni mmea wa kitropiki, na kustawi kwake karibu ni sawa na bilinganya. Mmea hukua na kufikia urefu wa meta moja hadi moja na unusu na matawi na majani yake hufanya kichaka. Nyanya mshumaa zinaweza kuwekwa katika makundi mawili: yaani aina itoayo matunda madogo madogo na… Read More »

FANYA YAFUATAYO KULIMA KILIMO BORA CHA NJEGERE

Mara nyingi huwa napenda kula ubwabwa na njegere, sijui kama na wewe mwenzangu unapenda kula njegere? Kama jibu ndiyo basi nakusihi uungane nami katika makala haya ili uweze kujifunza namna ya kulima kilimo hiki. Nakusihi kulima kilimo hiki kwa kwa sababu , kilimo cha njegere ni kilimo chenye tija kwa wakulima. Njegere ni mbegu za spishi za mimea… Read More »

JIFUNZE KUDOWNLOAD NA KUTUMIA HIPA APP TANZANIA

PAKUA HIPA APP PLATFORM MPYA YA KITANZANIA AMBAYO INARUHUSU KIJANA WA KITANZANIA KUITUMIA KUJADILI KWA UHURU KUHUSIANA NA MAMBO YA KIAFYA NA MAMBO YA KIJASILIAMALI JIUNGE NASI MAFANIKIO NI YETU SOTE; MUONEKANO WA HIPA APP TANZANIA UNAONEKA HIVI KWENYE PLAY STORE BAADA YA KUPAKUWA APP NA KUFUNGUWA NDANI YAKE HUWA NA MUONEKANO UFUATAO; UKIBONYEZA SEHEMU YA KUSHOTO YA… Read More »

Fear of unknown

Woga ni jambo baya kuliko hata kifo. Kifo kinaua mara moja Bali woga hukuua ktk mambo yako mara kwa mara, unakufelisha Leo na kesho yako. – ukifuatilia utagundua kuwa unakuja punde tu unapotakiwa kufanya jambo ambalo ni geni kulifanya au linalohusu public speaking. -kuanzia moyoni, kwnye mtiririko wa damu, unatembea ktk misuli ya mwili, mpaka unyayoni kiasi kwamba… Read More »